img

Namungo yaangukia kwa Waangola kombe la shirikisho Afrika

January 8, 2021

Hatimaye wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika klabu ya Namungo imepangwa kucheza na Primeiro De Agosto kwenye hatua ya mtoano, kwenye droo iliyofanyiaka hii leo Cairo Misri.

Namungo ambayo inacheza mashindano haya kwa mara ya kwanza ambapo imepangwa kucheza dhidi ya klabu ya Primeiro de Agosto kutoka nchini Angola kwenye michezo miwili ya mtoano kuwania kufuzu hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika, mchezo wa kawanza utachezwa kuanzia tarehe 14 februari 2021 na marudiano kupigwa tarehe 21 februari 2021.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *