img

Mke wa Filbert Bayi kuzikwa kesho Kibaha

January 8, 2021

Mwenyekiti wa Zamani CHANETA ambaye pia alikuwa Mkurugenzi wa shule za Filbert Bayi , Anna Bayi, mke wa Mwanariadha maarufu nchini Filbert Bayi ambaye amefariki dunia January 6,2021 akiwa katika hospitali ya Hindu Mandal alipokua akipatiwa matibabu atazikwa kesho.

Msaidizi wake katika Taasisi ya Shule za Filbert Bayi, Elizabeth Mjema amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kusema Mama Bayi atazikwa kesho Mkuza Kibaha na ratiba itaanza asubuhi Saa 1.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *