img

Mbunge Makete aongoza wananchi Mang’oto kufanya maendeleo

January 8, 2021

Na Mwandishi Wetu, Makete Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameshirikiana na wananchi wa vijiji vyote vya kata ya Mang’oto kufanya kazi ya maendeleo kwa kusafisha Intake ya maji iliyopo kwenye milima umbali wa kilomita 8 kutokea kijiji cha Malembuli. Akizungumza mara baada ya kukamilikia kwa zoezi hilo la usafi, Sanga amesema kuwa wametumia zaidi ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *