img

IGP Siro amepwa siku saba kushughulikia chakula cha mbwa

January 8, 2021

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amempa IGP Simon Sirro siku saba kushughulikia bajeti ya chakula cha mbwa wawili wanaotumika kulinda ulinzi na usalama. Simbachawene ametoa agizo hilo leo Ijumaa Januari 8, jijini Dar es Salaam, wakati wa ziara ya kikazi alipotembelea maeneo ya Jiji hilo.,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *