img

Wazazi watakaozuia watoto kwenda Sekondari kukiona

January 7, 2021

Na Allan Vicent, Tabora Wazazi na walezi wa watoto waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mwaka huu wilayani Uyui Mkoani Tabora wametakiwa kuhakikisha watoto wao wanajiunga na shule hizo ili kutimiza ndoto zao la sivyo watawajibika. Onyo hilo limetolewa juzi na madiwani wa halmashauri ya wilaya hiyo walipokuwa wakiongea na Mwandishi wa gazeti hili kwa nyakati,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *