img

Watatu wapoteza maisha kwa kukanyangwa na tembo Karagwe

January 7, 2021

Na Nyemo Malecela, Bukoba Watu watatu wa familia moja wilayani Karagwe wamepoteza maisha na mmoja kujeruhiwa na tembo wanaodaiwa kuvamia makazi ya wananchi katika kijiji cha Nshabaiguru kata ya Kihanga wilayani humo. Watu waliopoteza maisha katika tukio hilo ni Fredy Muhile (40) kibarua wa kuchunga ng’ombe na baba wa familia, Aneth Fredy (33) mama wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *