img

Wataalam sekta ya maji watakiwa kutumia taaluma zao vizuri

January 7, 2021

Na Mohamed Saif, Tarime Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewataka wataalam Sekta ya Maji kote nchini kutumia utaalam wao ili wananchi wapate huduma ya uhakika na toshelevu ya majisafi na salama. Aweso ametoa maelekezo hayo Juzi, wakati wa ziara yake ya kukagua mradi wa maji wa Gamasara Wilayani Tarime Mkoani Mara na kuzungumza na wanufaika,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *