img

Walimu wahamasishwa kujiendeleza kielimu

January 7, 2021

 Na Veronica Simba, Dodoma Serikali imewahamasisha Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari nchini, kujiendeleza kielimu katika ngazi mbalimbali ili kuboresha zaidi utendaji wao wa kazi. Wito huo umetolewa jijini Dodoma leo, Januari 7, 2021 na Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Moses Chitama wakati akizungumza na Wajumbe wa Mkutano wa Pili wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *