img

TAKUKURU yafuta madeni ‘feki’ ya Sh milioni 294

January 7, 2021

Na Nyemo Malecela, Bukoba Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Kagera imefanikiwa kurejesha zaidi ya Sh milioni 10.3 katika Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na kuwezesha kufuta madai batili yenye thamani ya Sh milioni 294.23 yaliyokuwa yameandaliwa na maduka ya dawa ya MK Pharmacy na EJU Enterprises ili kufanya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *