img

Serikali yaipongeza DSTV kwa kukuza tasnia ya sanaa

January 7, 2021

Na Jeremia Ernest, Dar es Salaam Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu, Dk. Kiango Kilonzo amepongeza Uongozi wa Kampuni ya Dstv Tanzania kwa kukuza tasnia ya sanaa kwa kununua tamthilia mbili kwa mpigo kupitia chanel yao ya Maisha Magic Bongo. Kampuni hiyo jana imetambulisha Tamthilia mbili za Pazia na Jua Kali ambazo zimesheheni wasanii zaidi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *