img

Serikali kuiongezea bilioni moja Halmashauri ya Bukoba

January 7, 2021

Na Nyemo Malecela, Kagera Serikali imeahidi kuongeza Sh bilioni moja kwa Halmashauri ya wilaya ya Bukoba mkoani Kagera kwa ajili ya kuweka vifaa na kuongeza wodi za watoto katika hospitali ya Halmashauri ya wilaya hiyo iliyojengwa kwa gharama ya Sh bilioni 1.8. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa (TAMISEMI), Seleman Jaffo alipofika Bujunangoma ilikojengwa hospitali,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *