img

Omari K afichua sababu ya kumshirikisha Khadija Kopa

January 7, 2021

Na Mwandishi Wetu Siku chache baada ya kuachia wimbo unaoitwa Nanaa, msanii nyota kutoka Kentucky nchini Marekani, Omari K, ameweka wazi siri iliyofanya amshirikishe Malkia wa Mipasho nchini, Khadija Kopa. Akizungumza na MtanzaniaDigital, Omari K ambaye ana asili ya Kenya amesema mama yake mzazi alikuwa shabiki mkubwa wa Khadija Kopa ndio maana akamshirikisha Malkia huyo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *