img

NIC, GRR waingia makubaliano ya udhamini mbio za Goba Hills

January 7, 2021

Na Imani Nathaniel, Dar es Salaam Kampuni ya Bima ya NIC imeingia udhamini wa miaka mitatu katika mbio za Goba Hills (Goba Hills Marathon), Udhamini huo unaogharimu fedha taslimu Sh milioni 25 kufikia kikomo mwaka 2023. Udhamini huo umeingiwa leo Januari 7, jijini Dar es Salaam ambapo kampuni NIC itakuwa ndiyo mdhamini mkuu wa mbio,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *