img

Mbunge Mathayo kuwawezesha wananchi kiuchumi

January 7, 2021

Na Shomari Binda,Musoma Mbunge wa Musoma mjini, Vedastus Mathayo amesema kipindi hiki cha miaka mitano (2020-2025) amedhamiria kuwatumikia zaidi wananchi kwa kuwawezesha kiuchumi. Akizungumza na MtanzaniaDigital leo Januari 7, katika mahojiano maalum, Mathayo amesema licha ya shughuli nyingine za kijamii lakini suala la uchumi wa wananchi litapewa kipaumbele. Amesema wananchi watafikiwa na kuwezeshwa kiuchumi kupitia,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *