img

Mamia ya madaktari Kenya wafukuzwa

January 7, 2021

Mamlaka ya Kenya mjini Mombasa imewafukuza mamia ya madaktari akiwemo mwenyekiti wa umoja wa madaktari katika kaunti hiyo.

Kwa mujibu wa ripoti iliyoandikwa na gazeti la Kenya la Daily Nation , madaktari waliofukuzwa wanafikia 514.

Madaktari hao walifanya mgomo kutokana na mazingira mabaya ya kazi pamoja na malipo duni.

Wanataka pia kuwa na vifaa vya kujikinga ba virusi vya corona wakati wakiwahudumia wagonjwa.

Wahudumu kadhaa wa afya wamefariki baada ya kuambukizwa Covid

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *