img

Mahakama Morogoro yaamuru mali za Tabora Motel zikamatwe

January 7, 2021

Na Mwandishi Wetu, Morogoro Mahakama ya Mwanzo mkoani Morogoro imeamuru vitu mbalimbali ndani ya Tabora Motel iliyopo maeneo ya Nane nane vikamatwe na kukabidhiwa kwa mwenye mali hizo, Denis Msanzya. Amri hiyo ya Mahakama imetolewa mbele ya Hakimu, Mbawa Daudiosa katika kesi ya madai namba 289 ya mwaka 2019 ambapo mdai ni Mfanyabiashara Msanzya dhidi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *