img

DAWASA yatakiwa kufikisha maji kwa wananchi wa pembezoni

January 7, 2021

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mbunge wa Kibamba (CCM), Issa Mtemvu ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kukamilisha kazi ya kufikisha maji kwa wananchi hususan waliopo pembezoni kwa kuwaunganisha kwenye mtandao wa maji ili kuharakisha upatikanaji wa huduma maji na kupunguza malalamiko. Mtemvu ametoa kauli hiyo wakati wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *