img

DAWASA yaahidi maji Kibaha vijijini

January 7, 2021

Na Gustafu Haule,Pwani Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam(DAWASA), Mhandisi Cyprian Luhemeja amefanya ziara ya kukagua Mtambo wa maji uliopo eneo la Mlandizi katika Halmashauri ya Kibaha vijijini na kuahidi kuwa mpaka ifikapo Desemba mwaka huu changamoto ya maji itakuwa imekwisha. Ziara ya Mkurugenzi huyo imetokana na maombi ya Mbunge wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *