img

Aweso awapa mwezi mmoja MUWASA Shirati wapate maji

January 7, 2021

Na Mohamed Saif, Rorya Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametoa siku 30 kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Musoma (MUWASA) kuhakikisha wananchi wa Mji wa Shirati wanapata huduma ya maji. Ametoa maelekezo hayo jana Januari 6, 2021 Wilayani Rorya alipotembelea mradi huo akiwa ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Rorya, Jafari Chege na,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *