img

Waziri Simbachawene akabidhi cheti na Milioni moja kwa askari wa jeshi la Zimamoto na Uokoaji

January 6, 2021

 Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (Wakwanza kushoto) akimkabidhi Cheti cha Kutambua Ujasiri na Utendaji Kazi Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Koplo Denis Minja, aliyeokoa maisha ya mtoto wa miaka miwili aliyekuwa ametumbukia kwenye shimo la choo Mjini Karagwe. Tukio hilo limefanyika leo katika Ofisi za Makao Makuu ya Wizara hiyo Mtumba, Jijini Dodoma. 

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *