img

Waziri Riziki aweka jiwe la Msingi Barabara ya Kinduni -Kichungwani -Kitope

January 6, 2021

 

 Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Riziki Pembe Juma akipata melezo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Mustafa Aboud Jumbe katika Hfla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Barabara ya Kinduni -Kichungwani -Kitope Wilaya Kaskazini B unguja.Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Ayoub Mohamed Mahmoud. .Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Ayoub Mohamed Mahmoud akitoa salamu za Mkoa katika Hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Barabara ya Kinduni -Kichungwani -Kitope Wilaya Kaskazini B unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 57 ya Mapinduzi Zanzibar

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *