img

Uvuvi kuwanufaisha vijana Pemba

January 6, 2021

Na Mwandishi Wetu, Pemba Vijana kisiwani Pemba wanatarajiwa kunufaika na aajira kutokana na uwekezaji unaotarajiwa kujfanyika kwenye sekta ya samaki. Hayo yameelezwa leo Januari 6, na Mwenyekiti wa Chama cha ACT –Wazalendo ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwenye ziara yake kisiwani Pemba.,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *