img

Tanasha aibua mapya, amshukuru Diamond kwa hil

January 6, 2021

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya na ambaye ni mama mtoto wa Diamond Platnumz Tanasha Donna ametumia ukurasa wake wa Instagram kumshukuru baba mtoto wake ambaye amemuita Baba Naseeb Diamond Platnumz kwa kuamua kumtambulisha kwenye tasnia ya muziki.

Tanasha ametumia ukurasa huo akimshukuru kwa kumshirikisha kwenye ngoma yake ya Gere na kuufanya mmoja ya wimbo uliosikilizwa zaidi barani Afrika kwa mwaka 2020.

Tanasha alipost na kuambatanisha na hii takwimu lakini akiandika maneno haya:

“Huge thanks! Gere by myself & Baba @naseeb.junior made it to Most viewed African songs on Youtube 2020. Grateful to @diamondplatnumz for believing in me & collaborating with me on such a big tune & to the supporters who’ve supported me & continue to believe in me so far. Cheers to a greater 2021 Inshallah. The dream continues…. 🧚🏽‍♀️❤️”

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *