img

Taifa Stars kumuaga Aggrey Morris January 10 2021

January 6, 2021

Beki wa Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Aggrey Morris atacheza mchezo wake wa mwisho wa kuagwa Taifa Stars January 10 2020 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Congo DR uwanja wa Mkapa Dar es Salaam.

Morris anaagwa baada ya kuomba kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Tanzania ambao alikuwa akiichezea toka 2010 kwa vipindi tofauti.

Baada ya kutangaza kustaafu na kuondoka katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza michuano ya CHAN 2021 nchini Cameroon, Morris ataendelea kucheza soka ngazi ya club.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *