img

Prof. Makubi: Viongozi sekta ya afya tatueni kero za wananchi

January 6, 2021

Na Catherine Sungura, WAMJW-Dodoma Wizara ya Afya ipo tayari kupokea kero na malalamiko ya wananchi endapo itaonekana wameshindwa kusikilizwa ama kusaidiwa na viongozi wao wa ngazi za chini na wale wa vituo vya kutolea huduma za afya kwenye maeneo yao. Hayo yameelezwa leo Januari 6, na Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Abel Makubi baada ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *