img

Nusu Fainali ya Carabao Cup Kutimua Vumbi Leo Usiku, Ni Manchester Derby!!

January 6, 2021

Manchester United vs Manchester City! Baada ya kutoka suluhu kwenye EPL, miamba hii ya jiji la Manchester inakutana tena kwenye nusu fainali ya kombe la Carabao Cup. Kutokana na mlipuko wa COVID19, mashindano haya na mengine mengi kwenye ulimwengu wa soka hayatokuwa na michezo miwili – nyumbani na ugenini. Badala yake, kuanzia hatua ya robo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *