img

Nkengasong: Wimbi la pili la corona barani Afrika ni baya zaidi

January 6, 2021
Kikosi cha Timu ya Azam Football Club kimewasili Salama ndani ya Visiwa vya Marashi ya Karafuu, kupitia Bandari ya Malindi, Unguja, kwa ajili ya Mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2021.
Azam Fc inatarajiwa kuvaana na Klabu ya Mlandege Kesho January 7, Mwaka huu, katika Dimba la Amani Stadium, Saa 2 :15 Usiku.
Utakumbuka kuwa, Kundi ‘C’ katika Mashindano hayo, Linajumuisha Timu ya Azam Fc, Mlandege, na Malindi Sc.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *