img

Kidato cha kwanza 350 wakosa nafasi Moshi

January 6, 2021

Safina Sarwatt, Moshi Jumla ya wanafunzi 350 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza katika shule mbalimbali halmashauri ya wilaya ya Moshi vijijini wamekosa nafasi kutokana na upungufu wa vyumba vya madarasa. Akizungumza wakati akipokea msaada wa mifuko 100 ya saruji iliyotolewa na mbunge wa jimbo la Moshi vijijini, Prof Patrick Ndakidemi leo Januari 6, 2021,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *