img

Wazee Nzega waanzisha miradi ya kiuchumi

January 5, 2021

Na Allan Vicent, Tabora Umoja wa Wazee Wastaafu wilayani Nzega Mkoani Tabora (UWANZE) wameukaribisha mwaka mpya 2021 kwa kufanya harambee ya kutunisha mfuko wa  kuanzisha miradi ya kiuchumi. Katika harambee hiyo jumla ya Sh 700,000 zilikusanywa papo hapo kwa ajili ya mfuko huo ili kuanza mchakato wa kuanzisha miradi yao. Wakizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *