img

Watumishi wa afya waliotafuna fedha wapewa siku saba

January 5, 2021

Na Derick Milton, Simiyu Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Miriam Mmbaga ametoa muda wa siku saba kwa Mganga Mkuu wa mkoa huo kupatiwa majina ya watumishi wa vituo vya kutolea huduma za Afya mkoa mzima ambao wanadaiwa kutafuna fedha za makusanyo kwenye vituo vyao. Mmbaga ametoa maagizo hayo leo Januari 5, wakati akiongea na watumishi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *