img

Wafungwa wa wanyimwa chanjo ya corona Israel

January 5, 2021

Palestina Chama cha Wafungwa wa Palestina kimetaka Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) kuweka shinikizo kwa utawala wa Tel Aviv kuwaruhusu Wapalestina katika magereza ya Israel kupewa chanjo dhidi ya corona. Chama cha Wafungwa wa Palestina kilifanya mkutano na waandishi wa habari mbele ya jengo la Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) katika Ukanda wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *