img

Trump na Biden wapiga kampeni katika uchaguzi wa Seneti Georgia

January 5, 2021

Georgia, Marekani Uchaguzi wa duru ya pili wa viti viwili vya seneti huko katika jimbo la Georgia unafanyika Jumanne hii na utaamua ikiwa Warepublican au Wademokrat watachukua udhibiti kwenye baraza la Seneti la Marekani na kubadili kwa kasi utekelezaji wa sera katika nusu ya kwanza ya muhula wa miaka minne wa Rais mteule Joe Biden,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *