img

TCRA yaifungia Wasafi TV miezi sita

January 5, 2021

Na Bright Masaki, Dar es Salaam Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeifungia Televisheni ya Wasafi Tv kutoa huduma kwa muda wa miezi sita kuanzia kesho January 6 mwaka huu hadi Juni 2021 kwa makosa ya kukiuka taratibu za utangazaji. Adhabu hiyo imetolewa leo Dar es Salaam na Kaimu Mkurugezi wa Sheria (TCRA), Johannes Karungura. Maamuzi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *