img

Rapa Gucci Man amzawadia Mpenzi wake Bilioni 2.3 baada kujifungua salama

January 5, 2021

 Rapa Gucci Man  amemua kutoa Shukrani kwa Mpenzi wake Keyshia Kaoir, baada ya mpenzi wake huyo kujifungua salama mtoto wao wa Kwanza .

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram, Keyshia Kaoir ameonyesha kufurahia zawadi hiyo ya kitita cha pesa na kushare habari hiyo kwa Mashabiki zake .

“Mpenzi wangu amenipatia Dolla Milion 1 (Tsh. Bilioni 2.3) kama zawadi ya kujifungua ” – ameandika Keyshia kaoir .

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *