img

Mbunge kuingia bungeni na bunduki

January 5, 2021

Washington, Marekani Mbunge mmoja wa Chama cha Republican cha Rais Donald Trump, Lauren Boebert ameahidi kutembea na silaha aina ya bunduki wazi mitaani. Mbunge huyo mpya mwanamke ameahidi kutembea na bunduki wakati wa muhula wake wa kwanza huko Washington DC. Katika video iliyotolewa Jumapili, mbunge wa Republican Lauren anaonekana akiweka bunduki yake ya mkononi risasi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *