img

Matukio kwa picha

January 5, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk.Rehema Nchimbi (kulia) akikabidhi vikundi vya kainamama na vijana mfano wa hundi ya sh milioni 91  zilizotolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Mkoani Singida kwa ajili ya vikundi vya Akinamama,vijana na wenye ulemavu ,makabidhiano hayo yalifanyika jana kwenye Ofisi za Halmashauri hiyo,kushoto kabisa ni Mbunge wa Jimbo Iramba Mashariki,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *