img

Magoti na mwenzake wahukumiwa kulipa fidia

January 5, 2021

Na Imani Nathaniel, Dar es Salaam Ofisa wa Programu kutoka LHRC Tito Magoti na mwenzake, Theodory Giyani(36), mtaalamu ww mfumo wa kompyuta, wamehukumiwa kulipa fidia ya Sh milioni 17.3 baada ya kupatikana na hatia ya kuongoza genge la uhalifu. Hukumu hiyo imetolewa leo, Januari 5, 2021 na Hakimu Mkazi Mkuu, Janeth Mtega, baada ya washtakiwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *