img

LION KING ACADEMY: MLETE MWANAO APATE MALEZI BORA YENYE MAADILI, TUPO DODOMA MJINI

January 5, 2021

    

DAYCARE AND NURSERY kituo cha malezi cha Watoto tupo Dodoma Mjini Maeneo ya AREA ‘C’ mlete mwanao apate malezi bora yenye maadili na Elimu bora.

Tunapokea watoto wenye umri kuanzia mwaka mmoja na nusu (1.5) hadi miaka sita (6)

  • – Walimu na walezi wenye uzoefu mkubwa 
  • – Michezo ya kisasa inayomuelimisha mtoto
  • – Vyakula vyenye afya kwa mtoto 
  • – Eneo la nje la kucheza ni kubwa
  • – Usafiri door to door 
  • – Usalama wa watoto (CCTV, ulinzi n.k.)
We are dedicated to provide outstanding early years education for children in a fun and interactive way. Our facility has well-equipped classrooms with age appropriate toys and learning resources and very spacious indoor and outdoor areas.
Ada zetu ni nafuu sana wasiliana na sisi kupata maelezo zaidi.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *