img

“Kura za Trump ni za waliofariki, takwimu za uongo”- Afisa Georgia

January 5, 2021

Washington , Marekani Afisa wa juu jimbo la Georgia, Brad Raffensperger ametaja madai ya uongo ya Rais Donald Trump kuwa alipata ushindi wa jimbo hilo katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana na kuita madai hayo “makosa yalio wazi”. Kauli ya Raffensperger imekuja ikiwa ni siku moja tu tangu Trump alipomshinikiza katika mazungumzo ya simu yaliovuja kwamba,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *