img

Gigy Money afungiwa miezi sita

January 5, 2021

Na Jeremia Ernest, Dar es Salaam Baraza la sanaa la Taifa (Basata) ambalo ni msimamizi wa sekta ya burudani limemfungia msanii Gift Stanford ‘Gigy Money’ kujishuhulis ha na shughuli za kijana kwa muda wa miezi sita na faini ya shilingi milioni moja. Gigy Money mwanzoni mwa mwaka huu akiwa katika tamasha la Tumewasha Tour jijini,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *