img

Tozo masoko ya samaki kimataifa kuwasilishwa wizarani

January 4, 2021

Na Mwandishi Wetu, Geita Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amewataka wakurugenzi wa halmashauri zenye masoko ya samaki ya kimataifa kuacha kupanga tozo za mazao ya uvuvi bila kuwasiliana na wizara ili kuondoa kero zinazowakumba wafanyabiashara katika maeneo hayo. Akizungumza jana Januari 3, mara baada ya kutembelea mnada wa mifugo uliopo Kijiji cha Buzirayombo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *