img

Pambano Simba na FC Platinum kupigwa saa 11

January 4, 2021

Na Richard Deogratious, Dar es Salaam Afisa habari wa klabu ya Simba SC, Haji Manara ameelezea maandalizi yanayoendelea kuelekea mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC Platinum itakayopigwa siku ya Jumatano, Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam. Manara amezungumza hayo leo Jumatatu, Januari 4,2021 kwenye kikao chake na waandishi wa habari,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *