img

Mlundikano wa uchafu Bariadi wapata suruhisho

January 4, 2021

Na Derick Milton, Bariadi Wakazi wa mji wa Bariadi, mkoani Simiyu, sasa wataondokana na changamoto iliyodumu kwa muda mrefu ya mlundikano wa uchafu kwenye maeneo ya kukusanyia taka katikati ya mji huo baada ya halmashauri hiyo kuleta vifaa vipya vitakavyotumika kukusanya taka kwa haraka na kwa wakati. Mji huo umekuwa na changamoto kubwa ya uwepo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *