img

Mbaroni kwa kukutwa na misokoto 400 ya bangi

January 4, 2021

Safina Sarwatt, Moshi Jeshi la polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia, Stephano Anthon(30) mkazi wa Kibosho Moshi kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina bangi misokoto 400. Akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 4, 2021 Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Kilimanjaro, Ronald Makona amesema Anthony alikamatwa Desemba 29, 2020 saa 9:50 alasiri,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *