img

“Kila dawa inayokuja tengenezeni mfumo wa kuifuatilia”-Dk Mollel

January 4, 2021

Na Mwandishi Wetu, Songwe Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Godwin Mollel leo Jumatatu Januani 4, 2021 amewataka wataalam wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA) katika hospitali kutengeneza mfumo wa ufutaliji wa dawa hospitalini ili kuwa na kanzidata ya matumizi sahihi ya dawa. Dk. Mollel ametoa agizo hilo alipokutana,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *