img

Guterres: Sio sahihi kila Taifa kuwa na chanjo yake ya Ugonjwa wa COVID19

January 4, 2021

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Antonio Guterres amesema sio sahihi suala la chanjo dhidi ya Ugonjwa wa COVID19 kuchukuliwa kitaifa

Katika ujumbe wake amesema, hakuna nchi itakuwa salama dhidi ya #CoronaVirus hadi nchi zote zitakapokuwa salama

Kauli yake inakuja baada ya nchi kadhaa zikiwemo Marekani, Uingereza na Urusi kuidhinisha chanjo za Pfizer/BioNTech, Moderna na Sputnik V ili kupambana na mlipuko

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *