img

EU yasema hatua ya Iran inatishia makubaliano ya nyuklia

January 4, 2021

 

Umoja wa Ulaya umeonya kuwa hatua ya Iran ya kurutubisha madini ya Urani kwa asilimia 20 ni sawa na kutangaza “kuachana na ahadi” zake chini ya makubaliano ya nyuklia ya mwaka 2015.

Msemaji wa Umoja wa Ulaya Peter Stano amesema Umoja huo utasubiri maelezo ya mkurugenzi wa shirika la Umoja wa Mataifa linalosimamia nishati ya nyuklia IAEA baadaye hii leo ili kujua hatua ambazo utachukua.

China ya makubaliano ya nyuklia yaliopewa jina la Mpango wa Utekelezaji wa Pamoja, JCPOA, Iran ilikubali kupunguza uendelezaji wa programu yake ya nyuklia ili iondolewe vikwazo kutoka kwa mataifa yenye nguvu kubwa duniani.

,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *