img

Director P kufungua mwaka na Show Me

January 4, 2021

Na Mwandishi Wetu Msanii Director P anatarajia kuachia wimbo mpya Januari 9, mwaka huu unaofahamika kama Show Me aliomshirikisha, Golden Boy. Director P ambaye pia ni mwongozaji wa Video, amesema wimbo huo uliorekodiwa katika Studio za Lupasa Records zilizopo Toronto, Canada, ni mwendelezo wa kazi zake atakazozitoa mwaka huu zikiwemo Mama na Nionyeshe aliomshirikisha, Fidel,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *