img

Ummy atimiza ahadi, achangia mifuko 600 ya saruji Tanga

January 3, 2021

Amina Omari, Tanga Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Ummy Mwalimu amekabidhi mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya sh Mil 8.4 kwa ajili ya kuharakisha ukamilishaji wa ujenzi wa vyumba vya madarasa katika shule za sekondari Jijini Tanga Hafla ya makabiziano ilifanyika jana Januri 2, mbele ya Mstahiki Meya wa Jiji hilo, Mkurugenzi Mtendaji,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *