img

Pence ‘aungana’ na Trump kupinga ushindi wa Biden

January 3, 2021

Washington, Marekani Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence amekaribisha hatua za dakika za mwisho za kundi la Maseneta kupinga kuidhinishwa kwa ushindi wa uchaguzi wa urais wa, Joe Biden. Maseneta 11 wa Republican na Maseneta wateule, wakiongozwa na Ted Cruz, wanataka kura ya kuidhinisha ushindi wa Biden kuchelewasha kwa siku 10 ili kuchunguza madai,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *